Anaendeleza pale baba yake alipoishia, kwani nae alikuwa na addiction hiyo.
Ila most of men wanaojihusisha na ile familia lazima waharibike yani...
familia ya kina kadarshian siyo naona hata kanye west naye kashaanza kudata
Huyu jamaa ni mcheza kikapu marekani alishachezeaga lakers
na pia alikuwa ni bwana ake na khole kadarshian.. Wiki hii abari yake imeuza sana. Aliamua akale bata kwenye club moja hivi inaitwa love ranch, siku hiyo aliovadozi bata leo ndiyo amezinduka sijui kwanini, huyu jamaa ameamu kuhari maisha yake kiasi hiki.
hahhah kumbe hawa ndugu zetu kabisainawezekana maana hilo jina odomuu nila kijalua sema yeye ameweka swaga likawa odom hata alicia keys naye naskia anayo asili ya kijaluo jina lake alisi lilikuwa na alisia akinyi
Huyu jamaa ni mcheza kikapu marekani alishachezeaga lakers
na pia alikuwa ni bwana ake na khole kadarshian.. Wiki hii abari yake imeuza sana. Aliamua akale bata kwenye club moja hivi inaitwa love ranch, siku hiyo aliovadozi bata leo ndiyo amezinduka sijui kwanini, huyu jamaa ameamu kuhari maisha yake kiasi hiki.
Jamaa ni Jaduong omela ochionade!!?halafu huyu jamaa nasikia ni mjaluo
Pesa shetani hasa kwa hizi ngozi nyeusi zina shida sana zikishika hela.
hahhah kumbe hawa ndugu zetu kabisa
hahahh haa inabidi wajitahidi warudi kupiga kuraHata Lily Wyne ni mtu wa Kigoma! Baba yake lily wyne alitengana na mke wake! Na mama yake lily wyne alikuwa na hela balaa alikuwa na hisa kwenye makampuni ya nje! Mama yake lily wyne akaja akaondoka tanzania akiwa na ujauzito wa lily wyne akaja akajifungua ila mtoto ambae ni lily wyne akamtelekeza wasamaria wema wakaja wakamwokota!