Mchezaji wa mpira wa kikapu Lamar Odom amezinduka

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
2,926
Reaction score
3,530
Huyu jamaa ni mcheza kikapu Marekani alishachezeaga Lakers na pia alikuwa ni bwana ake na Khole Kadarshian.

Wiki hii habari yake imeuza sana. Aliamua akale bata kwenye club moja hivi inaitwa love ranch, siku hiyo aliovadozi bata leo ndiyo amezinduka.

Sijui kwanini, huyu jamaa ameamu kuhari maisha yake kiasi hiki.
 
He is drug addict,sijui kakata tamaa na maisha yake?
 
Ila most of men wanaojihusisha na ile familia lazima waharibike yani...
 
familia ya kina kadarshian siyo naona hata kanye west naye kashaanza kudata
 
halafu huyu jamaa nasikia ni mjaluo
inawezekana maana hilo jina odomuu nila kijalua sema yeye ameweka swaga likawa odom hata alicia keys naye naskia anayo asili ya kijaluo jina lake alisi lilikuwa na alisia akinyi
 
Huyu jamaa ni mcheza kikapu marekani alishachezeaga lakers
na pia alikuwa ni bwana ake na khole kadarshian.. Wiki hii abari yake imeuza sana. Aliamua akale bata kwenye club moja hivi inaitwa love ranch, siku hiyo aliovadozi bata leo ndiyo amezinduka sijui kwanini, huyu jamaa ameamu kuhari maisha yake kiasi hiki.

Mbona unapuliza maneno?alienda kwenye danguro.
 
inawezekana maana hilo jina odomuu nila kijalua sema yeye ameweka swaga likawa odom hata alicia keys naye naskia anayo asili ya kijaluo jina lake alisi lilikuwa na alisia akinyi
hahhah kumbe hawa ndugu zetu kabisa
 
Huyu jamaa ni mcheza kikapu marekani alishachezeaga lakers
na pia alikuwa ni bwana ake na khole kadarshian.. Wiki hii abari yake imeuza sana. Aliamua akale bata kwenye club moja hivi inaitwa love ranch, siku hiyo aliovadozi bata leo ndiyo amezinduka sijui kwanini, huyu jamaa ameamu kuhari maisha yake kiasi hiki.

Pesa shetani hasa kwa hizi ngozi nyeusi zina shida sana zikishika hela.
 
Ile familia ya Kardashian ni ya kisatanic. Ukijichanganya lazima urost
 
hahhah kumbe hawa ndugu zetu kabisa

Hata Lily Wyne ni mtu wa Kigoma! Baba yake lily wyne alitengana na mke wake! Na mama yake lily wyne alikuwa na hela balaa alikuwa na hisa kwenye makampuni ya nje! Mama yake lily wyne akaja akaondoka tanzania akiwa na ujauzito wa lily wyne akaja akajifungua ila mtoto ambae ni lily wyne akamtelekeza wasamaria wema wakaja wakamwokota!
 
hahahh haa inabidi wajitahidi warudi kupiga kura
 
Back
Top Bottom