Mchezaji wa mpira wa kikapu Lamar Odom amezinduka

Mchezaji wa mpira wa kikapu Lamar Odom amezinduka

Dingo yake Odom nae ni teja mstaafu. Sema Odom kachanyikiwa baada ya kuachwa na make anayempenda.
 
Ahhhh we ngoja tu..... Lazima yatamkuta tuuu...
Tyga mwenyew hajielew siku hz

Hii familia ina laana aisee, Baba ndo hivyo boko boko, mama naye ana date na mwanaye, Kim Kardashian mpaka leo video yake akibanjuliwa na Ray j ipo mtandaoni.
 
mbona kanye west hajaharibika na ndo kwanza ana utaka uprezdaa??

Kanye west anajiita mungu watu wamwabudu hzo ni akili zipo timamu kweli! Juzi katangaza anataka kugombea urais wa marekani hzo ni dalili tosha kuwa jamaa hamnazo
 
Back
Top Bottom