Mchezaji wa Nkana FC, Walter Bwalya ni mchezaji sahihi kwa Msimbazi

Kwa mwendo huu wa kuchechea sidhani kama mwakani tutashiriki Michuano yoyote ya Kimataifa, lazima tukaze mata.kooo ili hata hao wageni wakija wasivunjike moyo na ligi zetu za mchangani hizi
 
Chai zimeongezwa, eti kacheza mechi 302 na amefunga magoli 597!

Wamejumlisha na cha ndimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…