Mchezaji wa Nkana FC, Walter Bwalya ni mchezaji sahihi kwa Msimbazi

Okwi aondoki popote hayo maneno ya magazeti tu hili yauze

Sent using Jamii Forums mobile app
confirmed anaondoka, kule atakula dola 15,000 per month simba wanapewa dola 100,000 ujinga ni kwamba nkana wanataka dola 400,000 kwa bwalya naona wazee wa teni pasenti washaanza vitimbi vyao.ukichukua dollar 100,000 ukaenda zimbabwe unashuka na wachezaji 4 wakali grade A
 
Kwani Chama Grade gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom