nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
confirmed anaondoka, kule atakula dola 15,000 per month simba wanapewa dola 100,000 ujinga ni kwamba nkana wanataka dola 400,000 kwa bwalya naona wazee wa teni pasenti washaanza vitimbi vyao.ukichukua dollar 100,000 ukaenda zimbabwe unashuka na wachezaji 4 wakali grade A
Kwani Chama Grade gani?confirmed anaondoka, kule atakula dola 15,000 per month simba wanapewa dola 100,000 ujinga ni kwamba nkana wanataka dola 400,000 kwa bwalya naona wazee wa teni pasenti washaanza vitimbi vyao.ukichukua dollar 100,000 ukaenda zimbabwe unashuka na wachezaji 4 wakali grade A
nkana wanataka milioni 800 si wehu huo?bora kwenda zimbabwe au ghana unachukua wa 4 au wa 3 wakali mno kwa milioni 200
Nadhani mkuu ni maneno tu sijui kama ni kweli wanataka pesa yote hiyonkana wanataka milioni 800 si wehu huo?bora kwenda zimbabwe au ghana unachukua wa 4 au wa 3 wakali mno kwa milioni 200