Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe raia wa Afrika Kusini

Dhuruma huwa haina manufaa ya kudumu, ya muda tu. Mara nyingi wanawake wa hivyo huishia kudhurumiwa na hata kuawa na wale wanaowaamini. Ndiyo maana kuna ongezeko la habari za wamama matajiri wajane kuuliwa na boyfriend wao kisa mali.
Unafikiri nakupinga Basi, ishi vyema mengine muachie Mungu wako,,
 
Hivi hii Bongo ipo kisheria?
 
Mabinti wa kisouth huwa ni ngumu sana kuhama SA na kuenda kuishi kwingineko, either ufanye maisha kwao SA au uondoke umuache kivyake urudi kwenu.... huwa ni vijeuri fulani vijuaji visivyo na nyuma mbele vinabebwa na uchumi wa kaburu tu...
True mimi kaka yangu amemzalisha watoto 4 alikuja nae hapa akakaa mwaka tu kisha akasepa akaacha wtoto wadgo sana sio waoga hta kdgo mpka Leo hajari Wala nn yaani mapenzi hawanna ni takataka kbsa
 
True mimi kaka yangu amemzalisha watoto 4 alikuja nae hapa akakaa mwaka tu kisha akasepa akaacha wtoto wadgo sana sio waoga hta kdgo mpka Leo hajari Wala nn yaani mapenzi hawanna ni takataka kbsa
Mwanamke Mwenye tako tangu lini akamiliki akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…