Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe raia wa Afrika Kusini

Mchezaji wa Orlando Pirates atimuliwa kwenye nyumba na kufilisiwa Mali zake alizoaziandika kwa jina la Mkewe raia wa Afrika Kusini

Dhuruma huwa haina manufaa ya kudumu, ya muda tu. Mara nyingi wanawake wa hivyo huishia kudhurumiwa na hata kuawa na wale wanaowaamini. Ndiyo maana kuna ongezeko la habari za wamama matajiri wajane kuuliwa na boyfriend wao kisa mali.
Unafikiri nakupinga Basi, ishi vyema mengine muachie Mungu wako,,
 
Prenup(pre nuptials agreement) ni makubaliano wanayoingia watu wawili wanaotaka kuoana kabla ya ndoa kuhusu mgawanyo wa Mali (chini ya wanasheria wao) ikitokea huko mbele ndoa imeshindwa kuendelea na wanataka kutalikiana.mara nyingi mwenye Mali nyingi anaweka vigezo vyake anampa mwenzake asome then akikubali anasaini ndio wanafunga ndoa Sasa.
Hivi hii Bongo ipo kisheria?
 
Mabinti wa kisouth huwa ni ngumu sana kuhama SA na kuenda kuishi kwingineko, either ufanye maisha kwao SA au uondoke umuache kivyake urudi kwenu.... huwa ni vijeuri fulani vijuaji visivyo na nyuma mbele vinabebwa na uchumi wa kaburu tu...
True mimi kaka yangu amemzalisha watoto 4 alikuja nae hapa akakaa mwaka tu kisha akasepa akaacha wtoto wadgo sana sio waoga hta kdgo mpka Leo hajari Wala nn yaani mapenzi hawanna ni takataka kbsa
 
True mimi kaka yangu amemzalisha watoto 4 alikuja nae hapa akakaa mwaka tu kisha akasepa akaacha wtoto wadgo sana sio waoga hta kdgo mpka Leo hajari Wala nn yaani mapenzi hawanna ni takataka kbsa
Mwanamke Mwenye tako tangu lini akamiliki akili?
 
Back
Top Bottom