Mchezaji wa PSG ya Ufaransa, Ander Herrera atua Mbuga ya Serengeti kutalii

Acholile

Member
Joined
May 30, 2022
Posts
90
Reaction score
59
Mchezaji wa klabu ya PSG (Paris Saint-Germain Club) na Timu ya Taifa, Ander Herrera ametua kwenye Uwanja wa Ndege wa Seronera uliopo Hifadhi ya Taifa ya Serengeti Leo tar 01 Juni, 2022 akiwa ameambatana na Mkewe Isabela Collado kwa ajili ya mapumziko mafupi kufurahia mandhari ya hifadhi hiyo bora duniani kwa sasa.

Akizungumza baada ya kutua ikiwa ni mara yake ya kwanza kutembelea Tanzania amesema kuwa wamefurahi sana kuwepo Serengeti na wanatarajia kuona namna Nyumbu wanahama kutoka eneo moja kwenda lingine lakini pia kuwaona wanyama wakubwa wakiwamo tembo, kifaru, simba, chui nk
Royal Tour inalipa; Hongera Mh Rais kwa ubunifu.

IMG-20220601-WA0091.jpg
FB_IMG_1654094017864.jpg
 
Royo Tua inalipa leo, kesho hadi milele na huu ni ukweli mchungu kwa wasiomkubali Bimkubwa. Biashara ni matangazo. Nani atajua una nini kama hujatangaza!! Big up Her Excellency Mama Samia
 
Mchezaji wa klabu ya PSG (Paris Saint-Germain Club) na Timu ya Taifa, Ander Herrera ametua kwenye Uwanja wa Ndege wa Seronera uliopo Hifadhi ya Taifa ya Serengeti Leo tar 01 Juni, 2022 akiwa ameambatana na Mkewe Isabela Collado kwa ajili ya mapumziko mafupi kufurahia mandhari ya hifadhi hiyo bora duniani kwa sasa.

Akizungumza baada ya kutua ikiwa ni mara yake ya kwanza kutembelea Tanzania amesema kuwa wamefurahi sana kuwepo Serengeti na wanatarajia kuona namna Nyumbu wanahama kutoka eneo moja kwenda lingine lakini pia kuwaona wanyama wakubwa wakiwamo tembo, kifaru, simba, chui nk
Royal Tour inalipa; Hongera Mh Rais kwa ubunifu.
Umewasiliana na Agent wake wa safari na ukaijua tarehe ya Booking yake ya Safari au unajitekenya na kucheka mwenyewe?

Hawa watu huwa hawakurupuki kufanya mambo yao.

Kila kitu chao kinakuwa ni matokeo ya ratiba na mipango yao ya muda mrefu.

Timu mapambio mnataka kutuaminisha kwamba kabla ya Royal Tour kulikuwa hakuna Booking za safari kwa mawakala?
 
Mataga shimoni achawivu
 
Tutarajie wataii wengi zaidi, muhimu puto liwe na mafuta ya kutosha kuweza kurusha watalii waangalie wanyama kutokea juu.....
 
Mchezaji wa klabu ya PSG (Paris Saint-Germain Club) na Timu ya Taifa, Ander Herrera ametua kwenye Uwanja wa Ndege wa Seronera uliopo Hifadhi ya Taifa ya Serengeti Leo tar 01 Juni, 2022 akiwa ameambatana na Mkewe Isabela Collado kwa ajili ya mapumziko mafupi kufurahia mandhari ya hifadhi hiyo bora duniani kwa sasa.

Akizungumza baada ya kutua ikiwa ni mara yake ya kwanza kutembelea Tanzania amesema kuwa wamefurahi sana kuwepo Serengeti na wanatarajia kuona namna Nyumbu wanahama kutoka eneo moja kwenda lingine lakini pia kuwaona wanyama wakubwa wakiwamo tembo, kifaru, simba, chui nk
Royal Tour inalipa; Hongera Mh Rais kwa ubunifu.

View attachment 2247384View attachment 2247385
Tutawasikia chawa wakisema haya ndio matunda ya Royal Tour
 
Asante Cha matusi wa JF
Utaacha kutukanwa wakati unaleta porojo za kijinga. Kila mgeni mnahadaa umma kaletwa na roho tua, wakati utalii ulikuwepo miaka yote,na hao wageni walikuwa wanakuja.
 
Aje na huku mtaa wa Lumumba kuwaona nyumbu wengine.
 
Back
Top Bottom