Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Nikukumbushe tu kwamba, Will Smith naye alikuja kabla ya royo tua. Pia wengine wengi wamewahi kutembelea Tanzania kabla ya mama yako kupeleka bakuli na kutumia pesa zetu hovyo. Unatumia pesa yako kuzalisha filamu halafu haki zote zinakuwa za producer.Naona majibu ya umuhimu wa ROYAL TOUR tunayapata lakini Kuna watu watanuna