Mchezaji wa Timu gani atashindwa kufunga hapa?

Yule Rastafari wetu msimu mzima aliishia kufunga goli moja pekee! Na bado aliwaingiza mkenge viongozi kwa kumpa mkataba mpya na mnono!! 😁
 
Mzinze,mzize,mnzize huyu kijana sijui anafanya nini Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…