Mchezaji wa timu ya taifa GABON aitwa mahojiano na kamati ya nidhamu CAF

Mchezaji wa timu ya taifa GABON aitwa mahojiano na kamati ya nidhamu CAF

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon anayeitwa Guelor kanga Kaku, anatarajiwa kukutana na kamati ya nidhamu CAF kujieleza kwanini mama yake mzazi alifariki 1986 lakini yeye alizaliwa mwaka 1990..... Miaka 4 baada ya mama yake mzazi kufariki.

Chanzo: gazeti la Trollfootball
1810072928.jpg
 
wachezaji wengi sana wanaotokea bara la Africa na America kusini wanadanganya sana miaka ata ningekua mim ningepunguza si chini ya miaka nane rejea micheal essien,rejea kwa Eto n.k
 
Uongo mkubwa ni ule wa bocco kuwa na miaka 29 means bocco ni mdogo wake na chama .

Onyango mwenye miaka 26 means gadiel Michael ni kaka wa onyango
 
Back
Top Bottom