Mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya aondolewa kikosini baada ya kugundulika kuwana COVID 19 akitokea Tanzania

Mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya aondolewa kikosini baada ya kugundulika kuwana COVID 19 akitokea Tanzania

Mkiwa mnapata Habari zenu za 'Vichochoroni Media' msiwe 'mnakurupuka' nazo humu 'Mitandaoni' kabla ya 'Kuzihakiki' kwani zitawafanyeni nanyi pia muanze kuonekana ni wa 'hovyo hovyo' tu..
Shirikisho la mpira kenya wameficha habari hiyo.
Pia wamekaa kimya kabisa.

Taarifa anatoa CEO wa simba wakati mchezaji huyo ameumia akiwa kikosini nje ya nchi. Hivi hii inaleta maana kweli? wakati kenya wenyewe hawajasema chochote.

Huyo CEO amepata habari wapi? au kuna daktari wa simba amethibitisha wakati huyo Onyango yupo Kenya.

Logic ndogo kabisa kwanini hizo taarifa wasitoe wakenya?

Watani Weka Siasa Pembeni Zungumza Uhalisia.
 
Vyombo vya habari vya nchini Kenya vinadai KFF inaficha kuwa joash Onyango anaumwa Covid19
Lakini CEO wa simba bi Barbara Ganzelez kupitia ukurasa wa twitter amekanusha na kudai joash Onyango anainjar kwenye goti
Corona bongo ipo ipo tu ila tunaenda nayo, wala hata haizuii kazi. Nitamshangaa mtu atakayeshangaa kwamba abiria aliyetoka Tanzania ana corona
 
Corona bongo ipo ipo tu ila tunaenda nayo, wala hata haizuii kazi. Nitamshangaa mtu atakayeshangaa kwamba abiria aliyetoka Tanzania ana corona
Corona inaua kwenye nchi zilizoingiza taharuki za kijinga kwa jamii, kwan tofauti ya corona na UKIMWI, SARATANI AU KISUKARI NI IPI HASA MAANA YOTE YANA UA BINADAMU MAMIA KWA SIKU KILA NCHI
 
Corona inaua kwenye nchi zilizoingiza taharuki za kijinga kwa jamii, kwan tofauti ya corona na UKIMWI, SARATANI AU KISUKARI NI IPI HASA MAANA YOTE YANA UA BINADAMU MAMIA KWA SIKU KILA NCHI
Nashangaa eti Onyango kuwa na corona nao ni mjadala. Mi mwenyewe hapa nina corona, ila napiga kazi hadi saa tisa, nalala masaa mawili, asubuhi naingia job kama kawaida.
 
Joash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa ametokea Tanzania ambapo anaichezea timu ya soka ya Simba.
Muda wote ni kupotosha umma ili kuichafua Tanzania,fala sana we bwege.
 
Ukiona kenge zinatoa damu masikioni ni dalili ya kifo..Chadema inakufa
Joash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa ametokea Tanzania ambapo anaichezea timu ya soka ya Simba.
 
inasemekana kapata corona Tanzania
Mbona we hujapata?
Siasa zenu za kichawi,chuki,husda na wivu wa kijinga,ndio uliopelekea mkapata mbunge mmoja tuu. Mlidhani watanzania wajinga wawachague kwa uzushi wenu na matusi yenu kwenye mitandao!?
 
Mkiwa mnapata Habari zenu za 'Vichochoroni Media' msiwe 'mnakurupuka' nazo humu 'Mitandaoni' kabla ya 'Kuzihakiki' kwani zitawafanyeni nanyi pia muanze kuonekana ni wa 'hovyo hovyo' tu. Mchezaji wa Simba SC na Timu ya Taifa ya Kenya ( Harambee Stars ) Joash Onyango hana CORONA ( COVID-19 ) kama 'ilivyozushiwa' bali aliumia Mguu akiwa Mazoezini na Kathibitisha mwenyewe kwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez.
unabishi kama vile wewe daktari wa timu,alafu unasahau korona huwashambulia sana wazee kuna uwezekano mkubwa jamaa kuwa nayo.
 
Utopolo ni kiwanda cha uzushi Tanzania hivi wameshaangalia katika timu zote ni Simba pekee wakiwa mapumziko wanapakwa sanitizer lakini wanapimwa kila siku ila wao wamekomalia tu kutengeneza habari mbaya
 
Joash Onyango mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya leo muda mfupi kabla ya mechi ya kimataifa aneondolewa kikosi cha timu yake ya taifa baada ya kugundulika kuwa na COVID 19 baada ya vipimo akiwa ametokea Tanzania ambapo anaichezea timu ya soka ya Simba.
Roho yako hapo kwatu
 
Back
Top Bottom