Hii ipo sana kwa mtume Putin na akina Xi Jing Ping kwani wenyewe ndio hao wanaoamini waafrika ni nyani tu.Ujakutana na racism wewe usiongee ivyo ulishawai kutemewa mate,kutupiwa ndizi? Ulishawai kupanda basi baada ya kuingia wewe kila mtu anaziba pumzi kuwa unanuka? Ulishawai kufuatwa na kundi la watu wakitaka kujua iyo ngozi ni yako au umepaka oil? Tena wanakugusa kabisa..