Ujakutana na racism wewe usiongee ivyo ulishawai kutemewa mate,kutupiwa ndizi? Ulishawai kupanda basi baada ya kuingia wewe kila mtu anaziba pumzi kuwa unanuka? Ulishawai kufuatwa na kundi la watu wakitaka kujua iyo ngozi ni yako au umepaka oil? Tena wanakugusa kabisa..