KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,147
YANGA ndio ilimtoa from zero to hero,nani angemjua bila yanga iliyomuokota mwananyamala?Mchezaji wa Yanga? Hivi kumbe anaichezea Yanga? Mi najua alipitia Yanga kabla hajaenda alipostahili. Mchezaji wa Yanga akifanikiwa sana labda anunue Starlet na kakibanda ka rooms tatu, choo passport size.
Chezeya soka la bongo?
Mbona naona kama bendera ya tanzania?Nonda shabani "Papii" si jina geni kwa wapenzi wa soka wa bongo,huyu ni mchezaji wa zamani wa yanga ya dar es salaam ambae ameonyesha mfano wa kuigwa kwa wachezaji wetu wa bongo kutokana na mafanikio yake ya kisoka na maisha kiujumla.Nonda amezindua hotel yake ya kitalii hivi karibuni hapa kinshasa aliyoipa jina "VILLA FATUMA" uzinduzi uliohudhuriwa na watu wengi maarufu congo akiwemo mwanamuziki wa zamani wa bendi ya wenge musica ADOLPHE DOMINGUEZ.Gonga hapo chini utizame video ya uzinduzi wa hoteli hiyo ya kisasa na nzuri kuliko club za simba na yanga!
hivi yanga ilimuuza bil ngapi kwenda sauzi na baadae ulaya...
YANGA ndio ilimtoa from zero to hero,nani angemjua bila yanga iliyomuokota mwananyamala?
YANGA ndio ilimtoa from zero to hero,nani angemjua bila yanga iliyomuokota mwananyamala?
YANGA ndio ilimtoa from zero to hero,nani angemjua bila yanga iliyomuokota mwananyamala?
Labda Kongo Kinshasa ya Kariakoo. Yanga mko juu kwa kufurahia harufu ya pilau ya jirani.Halafu ikamtupa wapi? ingekuwa raha zaidi kama mafanikio hayo yengepatikana kwa m-bongo. Akiwa wa kigeni inakuwa haina mashiko sana, si unaona hata hotel yenyewe kajenga Kinshasa. Kwa nini asijengejenga Mwananyamala 'alikookwota'?
Mkuu Crashwise mbona maswali yako magumu sana? Ona sasa wamekimbia au ndiyo mafuta yameisha, ngoja waende kibandani wakirudi watatujibu. Ngoja wajibu halafu nitarejea na swali la nyongeza.hivi yanga ilimuuza bil ngapi kwenda sauzi na baadae ulaya...
Hayo pekee ndiyo mafanikio ambayo watani zetu mnapaswa kujivunia lakini soka hakuna kajipangeni upya, lakini hapo si alifanya kupita tu hata uraia ni wa Kongo vipi kama angekuwa mbongo aliyelelewa na kuuzwa na Yanga kama ambavyo Simba wamefanya kwa akina Samata Magoli, Ulimwengu Tom na wengine wengi wanaoitikisa Dunia mngefanyaje?
Another version of ulimbukeni's revealed..
Baada ya kuwatenda vibaya kwa Five O'clock na kuwastaafishia Fuso lenu kwa aibu, kila siku Okwi yupo vichwani mwenu, kwa taarifa yenu hatumuuzi kwa vihela uchwara kama nyinyi mpo tayari kutoa wachezaji wenu hata bure tena hata kwa kuwatoroka kwenda South Afrika halafu mnajisifu mmechina.vipi okwi hata india nako wamemkataa, kweli simba mnazalisha vipaji
Fisi anayesubiri mkono uanguke wewe, utasubiri sana kama wafuasi wa kibwetere na kiama hakiwadii. Watu wanapeta, tukitoa sare tumefungwa hatujazoea na hatufurahii kama nyinyi malimbukeni wauza sura magazetini hata Tom Saintfet alikiri hilo.Halafu msimu huu kwa Okwi ni kama misimu yake ile mi'3 iliyotangulia,yaani hawezi ku'shine...mtaniambia