fix zako ni kutojua reality ya historia ya nonda!ndio maana nikakueleza alivyoingia yanga,hakusajiliwa kwa pesa yeyote,alipandishwa kutoka kikosi cha pili cha yanga baada ya kukibaini kipaji chake katikamazozi ya mafungu ya wachezaji walioitwa yanga kujaribiwa,yanga haikumtoa atletico,huo ndio ukweli,na ilimsajili kama mchezaji huru kutoka burundi na wala sio congo
ukisoma hapa chini utaelewa tunasema nini maana hata hiyo atletico kama alichezea basi ni miezi miwili mitatu tu kwani inaonyeshwa hapa alijiunga 1992,lakini mwaka huo huo ndio alikua akionekana kwenye viwanj vya jangwani akifanya mazoezi ya kundi la wachezaji waliokua wakiwania kusajiliwa na yanga B -BLACK STAR ya Mcongoman TAMBWE LEYA