KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,147
- Thread starter
-
- #61
Hivi mpo watu mpaka umri bado mnafundishana kulala mzungu wa nne!!!! hili sikulijua kabisa aisee,haya kila la kheri katika mafunzo ya hiyo sanaa yenu ya kulala mzungu wa nneUsivamie hoja bila ya kuielewa wewe, hicho chuo kikuu alichoongelea mwenzako mwenye akili kama zako cha ndani ya nyumba ni cha aina gani kama sio cha kufundishana kulala mzungu wa nne na kutengeneza makopo ya kuogea? Kajipange huna jipya....
Mkuu mimi nashindwa kuelewa unachokataa ni nini na unachokubali ni nini, hakuna sehemu nimesema mlimtoa Atletico kwa hela nilichosema ni kwamba alitoka Atletico kama ni kwa hela sijui kama mlimtorosha sijui, lakini chanzo chenu mnachocite kwamba alicheza Yanga kinaonyesha pia alicheza Atletico kabla ya kuja Yanga. Bado nasisitiza hakuna fix kwenye maelezo yangu.fix zako ni kutojua reality ya historia ya nonda!ndio maana nikakueleza alivyoingia yanga,hakusajiliwa kwa pesa yeyote,alipandishwa kutoka kikosi cha pili cha yanga baada ya kukibaini kipaji chake katikamazozi ya mafungu ya wachezaji walioitwa yanga kujaribiwa,yanga haikumtoa atletico,huo ndio ukweli,na ilimsajili kama mchezaji huru kutoka burundi na wala sio congo
ukisoma hapa chini utaelewa tunasema nini maana hata hiyo atletico kama alichezea basi ni miezi miwili mitatu tu kwani inaonyeshwa hapa alijiunga 1992,lakini mwaka huo huo ndio alikua akionekana kwenye viwanj vya jangwani akifanya mazoezi ya kundi la wachezaji waliokua wakiwania kusajiliwa na yanga B -BLACK STAR ya Mcongoman TAMBWE LEYA
Waliobarikiwa ni nyinyi mnaogeuzwa kama samaki kikaangoni na gabachori, akiamua mlale mzungu wa nne hewala, akiamua alete wacheza shoo wa Kongo(Twite) hewala, akiamua timu isiwe na kocha afundishe mwenyewe hewalaa, akiamua leo ni siku ya kumeza miwa mitatu bila kutafuna hewala, akiamua leo timu nzima ikalie dushelele la senene hewalaa. Wewe kweli umebarikiwa na aliyekubariki ni Shetani.hii ndio tatizo lenu mmelaaniwa nyie ndio maana timu anaongwazwa na msomali wapi umewahi kuona kabila hilo likapewa mamlaka zaidi ya hapo msimbazi halafu kijana ssoka la bongo hulijui kaa pembeni wanaume wakupe data hata ulimwengu alikotoka huju kamuulize kamwaga atakuambia wewe labda ligi ya india na somalia ndio unazijuwa mshamba wa msimbazi wewe stering wa kihindi govinda mweusi
Waliulize Yanga wenzio wanakijua chuo cha kufundishana kulala mzungu wa nne kipo wapi, mvamia hoja usiyefikiri kabla yakujibu na ndiyo maana umeingia mkenge mwenyewe.Hivi mpo watu mpaka umri bado mnafundishana kulala mzungu wa nne!!!! hili sikulijua kabisa aisee,haya kila la kheri katika mafunzo ya hiyo sanaa yenu ya kulala mzungu wa nne
Waliulize Yanga wenzio wanakijua chuo cha kufundishana kulala mzungu wa nne kipo wapi, mvamia hoja usiyefikiri kabla yakujibu na ndiyo maana umeingia mkenge mwenyewe.
Makao makuu yapo Jangwani tawi lake moja lipo Mbeyana jana mmefungua lingine Kagera.
Matokeo ya Tanga, Simba SC imefungwa maana Taifa kubwa kama hili kutoa sare kwake ni kufungwa. Wenzetu mkitoa sare mnasheherekea maana tano bila na tatu bila sio mchezo.tanga ngapi ngapi u mpaka mcheze dar tu?na hivi nani aliwapangia ratiba y kucheza mechi sita mfululizo nyumbani?huoni kama upendeleo wa ina hiyo ndio huwa unawacost mkipelekwa kwenye mashindano ya kimataifa kama kagame cup ambapo hakuna mjomba wa kuwabeba wala mbeleko y kuwabebea kama hii mbeleko ya chuma ya tff kulazimisha muwe mabingwa mwaka
\Nonda shabani "Papii" si jina geni kwa wapenzi wa soka wa bongo,huyu ni mchezaji wa zamani wa yanga ya dar es salaam ambae ameonyesha mfano wa kuigwa kwa wachezaji wetu wa bongo kutokana na mafanikio yake ya kisoka na maisha kiujumla.Nonda amezindua hotel yake ya kitalii hivi karibuni hapa kinshasa aliyoipa jina "VILLA FATUMA" uzinduzi uliohudhuriwa na watu wengi maarufu congo akiwemo mwanamuziki wa zamani wa bendi ya wenge musica ADOLPHE DOMINGUEZ.Gonga hapo chini utizame video ya uzinduzi wa hoteli hiyo ya kisasa na nzuri kuliko club za simba na yanga!