Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwa hakika huyu mchezaji (sijapata jina lake) amefanya kazi ya ziada katika upatikanaji wa goli la pili.
Amekimbia kwa speed kali na mpaka anatoa pasi, ni wazi alikuwa ametumia maximum energy aliyokuwa amebaki nayo kwa wakati ule na kidogo aanguke baada ya kutoa pasi ila akamudu vyema.
Pia, goli hili limeonyesha wachezaji wa Yanga hawana ubinafsi kwani Kama kila mtu angetaka kufunga, basi huenda Yanga wasingepata bao la pili kwani waligongeana japo wote walikuwa wako katika nafasi ya kufunga ila walihakikisha mwenye nafasi nzuri zaidi ndio afunge.
Wanaosema Mayele mbinafs, leo kawaumbua kwani alitoa pasi japo alikuwa tayari amelikaribia goli ila aliyepewa pasi alirudisha tena mpira kwa Mayele aliekuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga na Mayele hakufanya makosa.
Hongereni sana Yanga.