Mchezaji wa Yanga SC yupo rumande kwa kumpiga Ngumi Mwandishi wa Habari

Una sauti laini kama Mimi..hahahaha! Mlitudanganya omug anaumwa na okwi mkizuga et waligongana na kumbe okwi alimpiga mibichwa kocha wenu! Mbona sisi hatusema...yaani timu ya simba wote ni wavaa madela maana taarabu mnaiweza tena ya ...,..
 
Hivi Thoma Ulimwengu alipopiga Mwandishi wa Habari kule Shinyanga hadi akapelekwa Mahakamani kumbe ilikuwa issue ya TIMU YA SIMBA???????
ukiwa mnazi/muongomuongo Usisahau njia ya kurudia
 
Hivi Thoma Ulimwengu alipopiga Mwandishi wa Habari kule Shinyanga hadi akapelekwa Mahakamani kumbe ilikuwa issue ya TIMU YA SIMBA???????
ukiwa mnazi/muongomuongo Usisahau njia ya kurudia
Alikuwa Kazimoto.
 
Kumbukumbu ni kitu kizuri saana, MWINYI KAZIMOTO alimpiga mwandishi wa habari kule SHINYANGA tena mwandishi wa habari wa jinsia ya KIKE.

Kesi iliunguruma mpaka mahakamani!
 
Funguka na walishtakiwa wapi au walilala selo gani? Abdi, Masawe, Manara na Michael Paul wote walikua na kesi za wizi wa magari, Mambosasa aliiba godoro la guest, Kazimoto alipiga Mwandishi na Kaniki amefungwa kwa kubeba unga! Hamna mpya
Umemsahau yule mhaini.....alifungwa miaka kadhaa kwa kutaka kumpindua Nyerere miaka ileeeee!
WAFUNGWA FC![emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Paragraph ya mwisho sijaelewa unapohoji yanga vp mpira umewashinda mnahamia ktk ndondi umeambiwa amepigwa na timu nzima ya yanga au mchezaji mmoja? naona unawashwa wwe si bure
 
 
Nahisi ilo km ni kweli ni tatizo la mtu binafsi na sio Yanga mpira kuwashinda. Rooney alipohusishwa na changudoa hawakusema Everton mpira umewashinda wamekuwa malaya.
Nidhamu ya timu inapimwa kwa mchezaji mmoja mmoja
 
Haya ngoja tusubiri.Waandishi habari wengine hooovyo
 

Hebu tupeni sababu kwanini mna kaimu rais na makamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…