Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Wamasilimu uzeeni baada ya kula ujana ukristuni.
Point yako ni nini hapa?Ukristo sio jina, kuna kina John wengi tu ambao ni wapagani kama kulivyo na kina Rashida walio Wakristo. Mtu akitaka uthibitisho wa hili aende Google awatafute Nabeel Quresh, Basuki Abdullah, Ibrahim Abdullah, Saeed Abedini na Taysir Abu Saada.
Point yako ni nini hapa?
Madam umeniangusha sana. Baada ya kuangalia hiyo clip vizuri mimi kama mshabiki kindakindaki wa Arsenal tena nilianza angalia Arsenal kitambo, huyo sio Viera.
Ila bibi kachemka, huyo sio Viera.Ukristo sio jina, kuna kina John wengi tu ambao ni wapagani kama kulivyo na kina Rashida walio Wakristo. Mtu akitaka uthibitisho wa hili aende Google awatafute Nabeel Quresh, Basuki Abdullah, Ibrahim Abdullah, Saeed Abedini na Taysir Abu Saada.
Huyo atakuwa amepata goma la kiarabu..! Subiri yule dogo (kigori) wa Saudia jana kaelekea Canada akifika lazima awe mtumishi.
Kwani umeambiwa lini au imeandikwa wapi kwenye bible kuwa ukiwa mkristo usiwe unajistiri?Na mimi nataman kuwa Muislamu.
Napenda vile mabinti wanavojisitiri na hijabu wanapendeza.
Changamoto ni Baba Debo tu.
Mungu akusaidie mkuu, najua unajua yupo, sababu ya kutomuona sio kigezo cha kuamini ha-exist.