Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Yule mdada Wa Kisomali ndo alikuwa Mkewe?Duh..jirani yetu nyaishozi enzi za 2002-2005 akaenda zake marekani...hv Mushta bado yuko naye( Dada wa Bashe alosifiwa na ndugai bungeni)?
Jamaa alikua muungwana na ustaarab sana sema mkewe jamani..ngumi mkononi hatari ..kivuruge uwiii[emoji119][emoji119][emoji119]
Yes...ilikua faya jamani..dada mkorofi Mange akasome..alimuacha..akaenda usa alone...Narudia Mange akasomeYule mdada Wa Kisomali ndo alikuwa Mkewe?
Ila ni mzuri sana wa sura na umbo pia..Yes...ilikua faya jamani..dada mkorofi Mange akasome..alimuacha..akaenda usa alone...Narudia Mange akasome
Vipi tena! mbona kama hujafurahia vile kuwa na Mchungaji Mtanzania katika Nchi ya Mabeberu!Sawa tumekuelewa ni mchungaji nchini Marekani...
Ndio jibu!Ila ni mzuri sana wa sura na umbo pia..
Huenda ukorofi wake ni sababu watu walikuwa wanamshobokea sana..
Yes
Ndio huyu mchungaji john?