Mchezaji wa zamani wa klabu ya Pamba Nteze John sasa ni Mchungani nchini Marekani

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Pamba Nteze John sasa ni Mchungani nchini Marekani

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Nteze John Lungu,

Alikuwa ni winga machachari sana wa Klabu ya Soka ya Pamba iliyokuwa na makazi yake Jijini Mwanza.

Enzi zake akiichezea Pamba aliwapa kazi sana Mabeki wa Timu Pinzani.

Kwa sasa yupo nchini Marekani akihubiri injili ya Bwana Yesu katika nafasi ya Uchungaji.
 
Duh! Jirani yetu nyaishozi enzi za 2002-2005 akaenda zake marekani...hv Mushta bado yuko naye (Dada wa Bashe alosifiwa na ndugai bungeni)?

Jamaa alikua muungwana na ustaarab sana sema mkewe jamani, ngumi mkononi hatari ..kivuruge uwiii🙌🙌🙌
 
Duh..jirani yetu nyaishozi enzi za 2002-2005 akaenda zake marekani...hv Mushta bado yuko naye( Dada wa Bashe alosifiwa na ndugai bungeni)?
Jamaa alikua muungwana na ustaarab sana sema mkewe jamani..ngumi mkononi hatari ..kivuruge uwiii[emoji119][emoji119][emoji119]
Yule mdada Wa Kisomali ndo alikuwa Mkewe?
 
Sawa tumekuelewa ni mchungaji nchini Marekani...
 
Waafrika hasa watz kujiajiri ni ngumu sana, naona mdau ameenda kula vya madhabauni, watanzania wengi wanaenda kujiajiri huko kunisani hasa wakistafu, wajeda, wezi, komediani na nk nk.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaukwaa umarekani kautosa utanzania, maisha yanataka nini hasa?
 
Nteze John,huyu jamaa ni noma,sema alicheza enzi zile mpira haukua biashara zaidi kama miaka hii.
 
Back
Top Bottom