Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
apumzike tu huko alikoUtoto raha sana.
alikuwa anapenda sana soka..Wakati mwengine mfadhaiko wa akili ni balaa kubwa.
Sasa huyu majeraha anaamua kujitoa uhai!
Amakweli.......
ni kweli mzeeDah ni vyema ku maintain love kwa kila kitu
Dogo mapenzi yake mazito yalkua ni mpira tu kama wengi walivyo na mapenzi let say kwa wanawake
Dooh am so sad for him
hatari sana..Low Self Esteem
Mkwawa na yeye alikua na low self esteem?Low Self Esteem
Urithi mbaya.Mkwawa na yeye alikua na low self esteem?
mbaya zaidi alikuwa anapenda sana sokaMajeruhi yalimletea Kijana msongo mkali wa mawazo akaona hana sababu ya kubaki hai. Inasikitisha Sana.
mbona iko wazi mkuu?Mbona walisema kuwa alikwenda kufanya majaribio tu Man U? Hivyo hakuwa mchezaji wa zamani wa Man U bwana