Mchezaji wa zamani wa Manchester United ajiua

Mchezaji wa zamani wa Manchester United ajiua

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Mchezaji kinda aliyewahi kufanya majaribio Manchester United. JOEL DARLINGTON ameamua kujikatisha maisha yake.

Chanzo kikiwa ni kuchoshwa na majeraha ya mara kwa Mara.

Club yake ya mwisho mpaka kuchezea ni bala town's academy.

Rest in peace Joel
 
Majeruhi yalimletea Kijana msongo mkali wa mawazo akaona hana sababu ya kubaki hai. Inasikitisha Sana.
 
Mbona walisema kuwa alikwenda kufanya majaribio tu Man U? Hivyo hakuwa mchezaji wa zamani wa Man U bwana
 
Back
Top Bottom