Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mchezaji wa zamani wa Simba na timu ya taifa Iddy Suleiman kibode (Meya), amefariki usiku wa kumkia leo jtatu, katika Hospitali ya Muhimbili.
Awali Iddy alilazwa katika hospitali ya Mwananyamala na juzi usiku alihamishiwa Muhimbili. Idd ni mdogo wa nyota wa zamani, Madaraka Seleman (Mzee wa Kiminyio).
R.I.P Idd Seleman
Awali Iddy alilazwa katika hospitali ya Mwananyamala na juzi usiku alihamishiwa Muhimbili. Idd ni mdogo wa nyota wa zamani, Madaraka Seleman (Mzee wa Kiminyio).
R.I.P Idd Seleman