Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Damian Mrisho 'Kimti' afariki Dunia

Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Damian Mrisho 'Kimti' afariki Dunia

Nilikuwa nampenda sana Kimti... Alikuwa anafunga sana huyu mwamba.Mungu amrehemu
 
Kimti nilikuwa namwelewa sana. Kimo chake,kasi,na upambanaji uwanjani vinafanana sana na vya Luis Miquissone.
 
Back
Top Bottom