R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Jul 11, 2020 #21 Shark said: Kimti ni Mkigoma, Click to expand... Unaweza kujiuliza pamoja na uwezo wake wote kwanini hakuitwa timu ya taifa au unaweza kunitajia timu aliyokuwa akichezea kabla ya kujiunga na Simba
Shark said: Kimti ni Mkigoma, Click to expand... Unaweza kujiuliza pamoja na uwezo wake wote kwanini hakuitwa timu ya taifa au unaweza kunitajia timu aliyokuwa akichezea kabla ya kujiunga na Simba
I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Feb 19, 2022 #22 Huyo Damian Kimti ni kweli alikuwa ni Mrundi hilo halina ubishi.
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,351 Reaction score 9,855 Feb 19, 2022 #23 Nilikuwa nampenda sana Kimti... Alikuwa anafunga sana huyu mwamba.Mungu amrehemu
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 Feb 19, 2022 #24 Kimti nilikuwa namwelewa sana. Kimo chake,kasi,na upambanaji uwanjani vinafanana sana na vya Luis Miquissone.
Kimti nilikuwa namwelewa sana. Kimo chake,kasi,na upambanaji uwanjani vinafanana sana na vya Luis Miquissone.