Mchezaji wa zamani wa Simba SC na Pamba SC afariki dunia

Mchezaji wa zamani wa Simba SC na Pamba SC afariki dunia

Miongoni mwa makocha wetu Bora pale mji kasoro! Aliwahi pia kuifundisha Mtibwa ikiwa daraja la 2 na mwenzie Ahmed Mumba baadaye wakamwachia timu John Simkoko! R.i.p kocha!
 
Pamoja kua kiungo mshambuliaji lakini amegoma kula akiwa pekeake!
 
Maisha ya kuishi kisela na kukataa ndoa yana mwisho unaofanana na huu.... Msikilizeni Heriel yeye kaoa....

Kizazi cha vijana wa hovyo wanaokataa ndoa wakati ni wazinzi. Waasherati wa kutupa.
Kwa kweli haipendezi mtu kuishi mwenyewe, hata Mungu alitambua umuhimu wa watu kuishi wawili ndo maana baada ya kumuumba Adamu aliona hajakamilika akamfanyia msaidizi ambaye ni Eva ili kumkamilisha. Tusimshangae marehemu kwa kuishi mwenyewe inawezekana kuna magumu yalimpata yakamfanya awe mwenyewe mpaka anafikwa na mauti. Apumzike kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachezaji wa zamani wanamsongo sana na mawazo, na sio kwamba hawakupata hela sema hawakuweza kuinvest zama hizo elimi hii ya uwekezaji haikuwepo. Nenda pale bandarini gate namba 5 utawakuta wamejazana. Wengine ndio wamekuwa waganga wa kienyeji akina SAID SUED SCADI. Maisha ya mpira wa miguu ni mafupi sana tena sana.
Wachezaji wa zamani walikuwa wanaingiza fedha kwa njia gani?
 
Kwa kweli haipendezi mtu kuishi mwenyewe, hata Mungu alitambua umuhimu wa watu kuishi wawili ndo maana baada ya kumuumba Adamu aliona hajakamilika akamfanyia msaidizi ambaye ni Eva ili kumkamilisha. Tusimshangae marehemu kwa kuishi mwenyewe inawezekana kuna magumu yalimpata yakamfanya awe mwenyewe mpaka anafikwa na mauti. Apumzike kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
You are very correct! Haya maisha haya! Pengine wanakosoa wakisimuliwa kisa chake cha kuishi mwenyewe watabadili mitizamo yao kabisa.
 
Back
Top Bottom