Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Ndo huyo huyo...Mimi nafikiri Fiston Kalala Mayele. Wewe je?
Bangala Bangala Bangala hakuwa na majerudi muda wote, walinzi wakiwa nje anarudishwa kuwa beki, ukimpeleka kiungo ni ndi sawa na samaki na maji! Anastahili sana hakuna shaka!Hastahili. Labda John Boko
Pape Ousman Sakho hakuna ubishi
Hapana! Kibu Denis anatosha.Mimi nafikiri Fiston Kalala Mayele. Wewe je?