OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Alikuwa KibwanaHivi ni alikua Kibwana au Mzize?
Wote wawili Kibwana na Mzize wamepigwa faini ya Milioni 1 kila mmoja. Adhabu za namna hii naona kama inabidi itozwe timu na siyo mchezaji pamoja na kwamba najua akipigwa mchezaji inaenda kulipia timu yake.Mchezaji wa Yanga Africa, Shomari Kibwana ametozwa Faini ya Shilingi Milion Moja Kwa kosa la Kuonekana akiondoa taulo la Mlinda lango wa Klabu ya Mashujaa Lilikokuwa limewekwa Pembeni ya Lango wakati mchezo huo unaendelea..
Adhabu hii ni Kuzingatia Kanuni ya 41:5 ya Ligi Kuu kuhusu udhibiti wa wachezaji .
Kujifutia jasho na tokea lini ikawa marufuku kuwa na kitaulo golini?Ndugu mbumbumbu katika mpira wa miguu haitakiwi pale golini au kwenye nyavu za goli kuwekwa kitu chochote, ata chupa ya maji aihitajiki ndani ya goli labda uweke nje ya eneo la kuchezea.
Alichofanya kibwana shomari kilitakiwa kifanywe na refa.
Kazi ya taulo ni kipindi kama Kuna mvua au manyunyu kufuta maji kwenye groves za kipa au matope.
Sasa jua linawaka, hakuna mvua mataulo ya Nini?
Wote wawiliHivi ni alikua Kibwana au Mzize?
Pia kaadhibiwaMbona Mzize wamemwacha kwani naye alifanya kosa kama hilo mechi na Dodoma Jiji.
Kazi ya taulo si kujifutia jasho pale golini, lile nikwaajili ya maji au matope hasa kipindi ch mvua.Kujifutia jasho na tokea lini ikawa marufuku kuwa na kitaulo golini?
Washirikina nyie...majini fc...Kazi ya taulo si kujifutia jasho pale golini, lile nikwaajili ya maji au matope hasa kipindi ch mvua.
Ingekua kazi yake ni kujifutia jasho Kila mchezaji angeruhusiwa kuwa na chake ata marefa wangekua navyo.
Kungekua na muda maalum wa kujifutia jasho na mataulo yangewekwa sehemu maalum.
Mataulo huwa yanawekwa nje ya goli na sio ndani. Ni marufuku kabisaKujifutia jasho na tokea lini ikawa marufuku kuwa na kitaulo golini?
Mchezaji wa Yanga Africa, Shomari Kibwana ametozwa Faini ya Shilingi Milion Moja kwa kosa la kuonekana akiondoa taulo la Mlinda lango wa Klabu ya Mashujaa Lilikokuwa limewekwa Pembeni ya Lango wakati mchezo huo unaendelea.
Adhabu hii ni Kuzingatia Kanuni ya 41:5 ya Ligi Kuu kuhusu udhibiti wa wachezaji .
Kuna magolikipa wanatumia kujifuta jasho na kufuta glovu zao.Kuna watu wanatoka sana jasho mikononi na usoni.Ingekuwa inakatazwa marefa wasingekubali kuwepo na taulo.Kazi ya taulo si kujifutia jasho pale golini, lile nikwaajili ya maji au matope hasa kipindi ch mvua.
Ingekua kazi yake ni kujifutia jasho Kila mchezaji angeruhusiwa kuwa na chake ata marefa wangekua navyo.
Kungekua na muda maalum wa kujifutia jasho na mataulo yangewekwa sehemu maalum.
Sheria ipi kwenye 17 za mpira zinakataza ?Kuamini kwamba taulo linazuia goli ni ujinga wa hali juu.Mataulo huwa yanawekwa nje ya goli na sio ndani. Ni marufuku kabisa
Kuna tofauti ya mashabiki hata wasiokuwa na uhakika kwamba ni wa Simba na wachezaji tena wawili kuamini kwamba taulo linazuia mpira kuingia golini.Ni ujinga wa hali ya juuHata simba wamepigwa faini kwa sababu ya ulozi
Boya kweli wewe ushabiki maandazi tu!Kazi ya taulo si kujifutia jasho pale golini, lile nikwaajili ya maji au matope hasa kipindi ch mvua.
Ingekua kazi yake ni kujifutia jasho Kila mchezaji angeruhusiwa kuwa na chake ata marefa wangekua navyo.
Kungekua na muda maalum wa kujifutia jasho na mataulo yangewekwa sehemu maalum.