Mchezaji Yanga apigwa faini kwa sababu ya ushirikina

Mchezaji Yanga apigwa faini kwa sababu ya ushirikina

Kuna tofauti ya mashabiki hata wasiokuwa na uhakika kwamba ni wa Simba na wachezaji tena wawili kuamini kwamba taulo linazuia mpira kuingia golini.Ni ujinga wa hali ya juu
Hujawahi kurogwa wewe siku ukirogwa ndio utajua uchawi ni nini na upo na unafanya kazi omba Mungu yasikukute
 
Hujawahi kurogwa wewe siku ukirogwa ndio utajua uchawi ni nini na upo na unafanya kazi omba Mungu yasikukute
Nani kazungumzia kurogwa?Wewe unaamini taulo inazuia goli?
Wacha kupindisha mada.
 
Wawapige faini mashujaaa wanapiga magoti na kufukia vitu vya ajabu
 
Ndugu mbumbumbu katika mpira wa miguu haitakiwi pale golini au kwenye nyavu za goli kuwekwa kitu chochote, ata chupa ya maji aihitajiki ndani ya goli labda uweke nje ya eneo la kuchezea.
Alichofanya kibwana shomari kilitakiwa kifanywe na refa.

Kazi ya taulo ni kipindi kama Kuna mvua au manyunyu kufuta maji kwenye groves za kipa au matope.
Sasa jua linawaka, hakuna mvua mataulo ya Nini?
Haikuwa kazi ya Kibwana Shomari au Mzize kuchukua yale mataulo na kuyarusha majukwaani. Unashindwa kuelewa hata hilo? Kama waliona kuna kanuni imekiukwa ilikuwa ni suala la kuwataarifu waamuzi na wasimamizi wa mchezo ili wachukue hatua stahiki.

Ukiacha kila mtu afanye anavyojisikia, kuna wachezaji wataingia na kadi nyekundu viwanjani na kuwapa wa timu pinzani pale wanapokuwa wamezidiwa.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Ndugu mbumbumbu katika mpira wa miguu haitakiwi pale golini au kwenye nyavu za goli kuwekwa kitu chochote, ata chupa ya maji aihitajiki ndani ya goli labda uweke nje ya eneo la kuchezea.
Alichofanya kibwana shomari kilitakiwa kifanywe na refa.

Kazi ya taulo ni kipindi kama Kuna mvua au manyunyu kufuta maji kwenye groves za kipa au matope.
Sasa jua linawaka, hakuna mvua mataulo ya Nini?
Hayo mataulo yalikua nje ya uwanja.

Mpumbavu punguza kukurupuka.

Ujuaji mwingi kumbe empt set.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Hayo mataulo yalikua nje ya uwanja.

Mpumbavu punguza kukurupuka.

Ujuaji mwingi kumbe empt set.
Ndugu mbumbumbu sikuiti mpumbavu kwakua tayari umesha jipambanua maana ata Rage kapigilia msumari.
Ingia u tube tafuta ilo tukio la kibwana shomari ni eneogani alichukua ilo taulo.

Ukisha liona ilo tukio la video jipongeze kwa kusema kauliya Rage Haina makosa.
 
Back
Top Bottom