Mchezaji Yanga apigwa faini kwa sababu ya ushirikina

Kuna tofauti ya mashabiki hata wasiokuwa na uhakika kwamba ni wa Simba na wachezaji tena wawili kuamini kwamba taulo linazuia mpira kuingia golini.Ni ujinga wa hali ya juu
Hujawahi kurogwa wewe siku ukirogwa ndio utajua uchawi ni nini na upo na unafanya kazi omba Mungu yasikukute
 
Hujawahi kurogwa wewe siku ukirogwa ndio utajua uchawi ni nini na upo na unafanya kazi omba Mungu yasikukute
Nani kazungumzia kurogwa?Wewe unaamini taulo inazuia goli?
Wacha kupindisha mada.
 
Wawapige faini mashujaaa wanapiga magoti na kufukia vitu vya ajabu
 
Haikuwa kazi ya Kibwana Shomari au Mzize kuchukua yale mataulo na kuyarusha majukwaani. Unashindwa kuelewa hata hilo? Kama waliona kuna kanuni imekiukwa ilikuwa ni suala la kuwataarifu waamuzi na wasimamizi wa mchezo ili wachukue hatua stahiki.

Ukiacha kila mtu afanye anavyojisikia, kuna wachezaji wataingia na kadi nyekundu viwanjani na kuwapa wa timu pinzani pale wanapokuwa wamezidiwa.
 
Reactions: Tui
Hayo mataulo yalikua nje ya uwanja.

Mpumbavu punguza kukurupuka.

Ujuaji mwingi kumbe empt set.
 
Reactions: Tui
Hayo mataulo yalikua nje ya uwanja.

Mpumbavu punguza kukurupuka.

Ujuaji mwingi kumbe empt set.
Ndugu mbumbumbu sikuiti mpumbavu kwakua tayari umesha jipambanua maana ata Rage kapigilia msumari.
Ingia u tube tafuta ilo tukio la kibwana shomari ni eneogani alichukua ilo taulo.

Ukisha liona ilo tukio la video jipongeze kwa kusema kauliya Rage Haina makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…