Mchezaji yupi unamkubali kwenye kupiga krosi?

Mchezaji yupi unamkubali kwenye kupiga krosi?

Of course Beckam alikuwa mzuri, pia hawa ninakutajia kwa sababu ni moja kati ya long rangers wazuri wa cross tokea upande wowote wa uwanja...

Ronald Koeman
Luis Figo
Gheorghe Hagi
Manuel Rui Costa
Steven Gerald
Andreas Pirlo
kwa miaka hii wapo kina De Bruyne, Trent Alexander, kuna yule kiungo wa Southampton...

Ukiacha hiyo, sidhani kama kuna mechi niliyowahi tazama iliyopigwa cross nyingi kama semi-final ya world cup 1998 kati ya Brazil na Holland, ile mechi waholanzi walipiga cross nyingi mno kumlisha Kluivert...
 
IMG_2745.jpg

Huyu mwamba anapiga kross laana[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️
 
Kwaaliekuwa anapiga krosi kwa mkono nitamtaja Delap amewahi kucheza stoke pale.....

Krosi za mguu Nakamura aliwahi kukipiga pale Celtic.....ni hatari kuanzia krosi hadi free kick
 
Wote mnaandika ujinga bila kujitambua

Mchezaji bora katika kupiga freekick dunian ni Juninho aliyewah kucheza Olympic Lyon alifunga freekick 77 katika carier yake huyo Bekham ana 56 tu
 
Back
Top Bottom