Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Anazungumzia Cross na siyo freekickWote mnaandika ujinga bila kujitambua
Mchezaji bora katika kupiga freekick dunian ni Juninho aliyewah kucheza Olympic Lyon alifunga freekick 77 katika carier yake huyo Bekham ana 56 tu