Of course Beckam alikuwa mzuri, pia hawa ninakutajia kwa sababu ni moja kati ya long rangers wazuri wa cross tokea upande wowote wa uwanja...
Ronald Koeman
Luis Figo
Gheorghe Hagi
Manuel Rui Costa
Steven Gerald
Andreas Pirlo
kwa miaka hii wapo kina De Bruyne, Trent Alexander, kuna yule kiungo wa Southampton...
Ukiacha hiyo, sidhani kama kuna mechi niliyowahi tazama iliyopigwa cross nyingi kama semi-final ya world cup 1998 kati ya Brazil na Holland, ile mechi waholanzi walipiga cross nyingi mno kumlisha Kluivert...