Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dharau hizo...Kama Amber Rutty
HahahahahaaaaaWewe utakuwa shabiki wa Mbabane..Wenzako wako Airport safari tayari.
Kweli kabisa,Huenda ikawa hivyo..Huyu hela imepotea bure tu, siku akiingia hana mpya, aangalie Dilunga akiingia namna anavyotoa pasi za mwisho
Wananchi wa wapi, sema timu ya mafundi jeneza mmefilisika hadi mnajenga kwenye maswamp.Hahahahahaaaaa
Mimi shabiki wa timu ya wananchi
Saa mbovu hiyo mkuuPambana na hali ya Kanjibai..Simba ni habari nyingine, endeleeni kufuga Vyura pale bwawani[emoji3][emoji196]
GyianNani ataondoka ili huyu beki apate nafasi ya wachezaji wa kigeni ?
Ni Niyonzima ?
VP bado unasubiria matokeo ya Liverpool..Neymar kitu cha ajabu..mashabiki Wa Liverpool na simba tujuane maana hili LA simba limeisha tunaenda kumaliza Kwa PSG..
West Africa...Kama Manula boko la LesothoKama Kindoki[emoji3][emoji23]
Tunawasubili mkicheza na Lipuli FC ndio tujue level yenu Mkuu!!!Endeleeni Kujidanganya mkuu..Lakini kwa sasa Simba ni level nyingine aisee!