Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
- Thread starter
- #61
Je mna shaka naye? Kazi yake ni kumwaga maji tu ndani ya 18 [emoji23][emoji23][emoji23]Amna kitu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je mna shaka naye? Kazi yake ni kumwaga maji tu ndani ya 18 [emoji23][emoji23][emoji23]Amna kitu hapa
Ni mchezaji mzuri anahitaji muda wa ku adapt.Zana anakuja vizuri
Mcheki ninja anavyoangalia kinyonge hapoMuulizeni ninja alikula chenga hadi akakaaView attachment 1024978
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Chama ameanza kupigwa misumari.Ajiandae kwa misumari tu, Kwasi atanielewa zaidi hapa!
Anazidi kuwaziba mdomo makocha wa mitandaoni[emoji23][emoji23]Amna kitu hapa