Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Huyo kocha nilimdharau nilipoona anamweka novatus left back wakati dogo alitubeba kombe la dunia akiwa kiungo mkabaji.Kocha wetu muoga sana! Sub mbovu na muda usio sahihi. Central back watatu na typical viungo wakabaji utegemee nini! Hiyo inafaa away lakini Taifa angelainisha timu kidogo.
Bajana anaweza kukaba na kucheza, Feisal anaweza kukaba na kucheza! Huwezi kuwa home alafu unajaza Central back namna ile. Ni dalili za uoga na udhaifu kimbinu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Unampa game Fei ambaye hajacheza tangu disemba1.Manula
2.Kapombe
3.Zimbwe
4.Job
5.Bacca
6.Mzamiru
7.Msuva
8.Miroshi
9.Samatta
10.Fei Toto
11.Sop
Ningekuwa Kocha..ningeanza na jeshi hili leo
Imetucost sana... fitness yake ipo chini mno.Unampa game Fei ambaye hajacheza tangu disemba
Kocha alikuwa shujaa game iliyopita then home kakosa nidhamu dakika za hatari tumeadhibiwa. Too badYametimia !