Mchezo dhidi ya Uganda kesho, Tusiende na matokeo mfukoni!

Mchezo dhidi ya Uganda kesho, Tusiende na matokeo mfukoni!

Kocha wetu muoga sana! Sub mbovu na muda usio sahihi. Central back watatu na typical viungo wakabaji utegemee nini! Hiyo inafaa away lakini Taifa angelainisha timu kidogo.

Bajana anaweza kukaba na kucheza, Feisal anaweza kukaba na kucheza! Huwezi kuwa home alafu unajaza Central back namna ile. Ni dalili za uoga na udhaifu kimbinu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Huyo kocha nilimdharau nilipoona anamweka novatus left back wakati dogo alitubeba kombe la dunia akiwa kiungo mkabaji.
 
Back
Top Bottom