kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Kuna turbo hazikuja bongo, zinawangojea huko kwao Ili ziwanyooshe, kazi IPO kwa utoJe?Yanga ataweza kushikilia bomba dakika 90?,maana gemu ya kwanza tu wasudani walishikilia bomba na bado waliongoza kwa short on target nyingi,imagine akifungua turbo [emoji3]