Mchezo huu wa Yanga na Al Hilal ni ngumu kutabirika

Je?Yanga ataweza kushikilia bomba dakika 90?,maana gemu ya kwanza tu wasudani walishikilia bomba na bado waliongoza kwa short on target nyingi,imagine akifungua turbo [emoji3]
Kuna turbo hazikuja bongo, zinawangojea huko kwao Ili ziwanyooshe, kazi IPO kwa uto
 
Hili hata Shetani analijua, yanga ameshahamia shirikisho. Tukutane mwakani kilabu bingwa ila mwaka huu imeisha hiyo.
Al hilal wameshafuzu, mpira unachezwa uwanjani na kila mtu ashinde nyumbani kwake
galaxy walivyo iponda mikia pale kwa mkapa ilikuwa ni kwao pale?
 
Kuhusu washambuliaji wetu sina mashaka, naona sura ya Fiston inaonesha hawa Al Hilal watafungwa tu, tatizo ni ulinzi wetu.
Bangala acheze namba 6 aipunguzie presha safu ya ulinzi
 
Mnatoa ushauri wq kiufundi mpaka wachezaji na benchi la ufundi wanavurugwa mana huwa wanapitamo JF. Ebu tulieni basi mjipange huko ligi ndogo shirikisho
 
Je?Yanga ataweza kushikilia bomba dakika 90?,maana gemu ya kwanza tu wasudani walishikilia bomba na bado waliongoza kwa short on target nyingi,imagine akifungua turbo [emoji3]
Kuna turbo hazikuja bongo, zinawangojea huko kwao Ili ziwanyooshe, kazi IPO kwa uto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…