Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Wakati mnaendelea kubishana kwenye episodes za MENGI vs ROSTAM
Nadhani mnajua jamaa wako kwenye process ya kumchagua DG mpya pale NHC lakini cha ajabu waziri husika na kigogo fulani wa IKULU wanatuhumiwa kuwa amekuwa instrumental katika kuvuruga process nzima ili jamaa wa nyumbani kwao apate na wamefika hatua ya kubadilisha hata matangazo ili kumuaccomodate candidate mmoja
Ukistaajabu ya musa utashangaa ya firauni
Na tangazo la pili lilikuwa scaled down hata masharti ya elimu ili jamaa apate tuu
anyway hiyo ndio habadi
huyo DG wa NHC anateuliwa na nani? au taratibu za ajira yake zikoje? Na Waziri anahusika vipi katika kumteua DG wa shirika la 'umma'?
Tatizo hilo liliongelewa kuhusu Mkurugenzi wa NSSF kupigiwa Pande na Kapuya, Lakini Dr Who? or Samahani Theory Game? aliuliza kama alivyo uliza MM, hivyo mpira aliopiga yeye, MM anamrudishiaMwanakijiji,
Appointment zote za ma CEO/ DGs mashirika makubwa ya umma hufanywa na rais, waziri husika ana nafasi kubwa sana ya kumshauri rais kiasi mara nyingine raisi anakuwa anapitisha mapendekezo ya Waziri tu.
Ni moja kati ya matatizo ya kumlimbikizia kila kitu rais, si rahisi rais kujua vitu vingi vinavyoendelea katika mashirika haya pamoja na personalities na potentialities, especially with the current state of affairs hapo TISS ambao hata wao wenyewe wanaweza kuwa compromised mpaka kukosa maana.
Kwa hiyo ukiwa na rais asiye kichwa (kama Kikwete) it is quite conceivable waziri akavuruga process.
Ingawa most probably hata Kikwete mwenyewe si mtu wa kuchagua kwa merit (kwani yeye mwenyewe hajachaguliwa kwa merit) kwa hiyo sitashangaa hata kama hakuna kuvurugwa process kazi akapewa mwanamtandao fulani, kama Cisco Mtiro yule mvaa kihereni kaenda kuwa Mkuu wa itifaki Tanzania anybody can take any position.
Wakati mnaendelea kubishana kwenye episodes za MENGI vs ROSTAM
Nadhani mnajua jamaa wako kwenye process ya kumchagua DG mpya pale NHC lakini cha ajabu waziri husika na kigogo fulani wa IKULU wanatuhumiwa kuwa amekuwa instrumental katika kuvuruga process nzima ili jamaa wa nyumbani kwao apate na wamefika hatua ya kubadilisha hata matangazo ili kumuaccomodate candidate mmoja
Ukistaajabu ya musa utashangaa ya firauni
Na tangazo la pili lilikuwa scaled down hata masharti ya elimu ili jamaa apate tuu
anyway hiyo ndio habadi
Tatizo hilo liliongelewa kuhusu Mkurugenzi wa NSSF kupigiwa Pande na Kapuya, Lakini Dr Who? or Samahani Theory Game? aliuliza kama alivyo uliza MM, hivyo mpira aliopiga yeye, MM anamrudishia
Tatizo hilo liliongelewa kuhusu Mkurugenzi wa NSSF kupigiwa Pande na Kapuya, Lakini Dr Who? or Samahani Theory Game? aliuliza kama alivyo uliza MM, hivyo mpira aliopiga yeye, MM anamrudishia
wakati mnaendelea kubishana kwenye episodes za mengi vs rostam
nadhani mna
na tangazo la pili lilikuwa scaled down hata masharti ya elimu ili jamaa apate tuu
anyway hiyo ndio habadi
Wakati mnaendelea kubishana kwenye episodes za MENGI vs ROSTAM
Nadhani mnajua jamaa wako kwenye process ya kumchagua DG mpya pale NHC lakini cha ajabu waziri husika na kigogo fulani wa IKULU wanatuhumiwa kuwa amekuwa instrumental katika kuvuruga process nzima ili jamaa wa nyumbani kwao apate na wamefika hatua ya kubadilisha hata matangazo ili kumuaccomodate candidate mmoja
Ukistaajabu ya musa utashangaa ya firauni
Na tangazo la pili lilikuwa scaled down hata masharti ya elimu ili jamaa apate tuu
anyway hiyo ndio habadi
Mwanakijiji,
Appointment zote za ma CEO/ DGs mashirika makubwa ya umma hufanywa na rais, waziri husika ana nafasi kubwa sana ya kumshauri rais kiasi mara nyingine raisi anakuwa anapitisha mapendekezo ya Waziri tu.
Ni moja kati ya matatizo ya kumlimbikizia kila kitu rais, si rahisi rais kujua vitu vingi vinavyoendelea katika mashirika haya pamoja na personalities na potentialities, especially with the current state of affairs hapo TISS ambao hata wao wenyewe wanaweza kuwa compromised mpaka kukosa maana.
Kwa hiyo ukiwa na rais asiye kichwa (kama Kikwete) it is quite conceivable waziri akavuruga process.
Ingawa most probably hata Kikwete mwenyewe si mtu wa kuchagua kwa merit (kwani yeye mwenyewe hajachaguliwa kwa merit) kwa hiyo sitashangaa hata kama hakuna kuvurugwa process kazi akapewa mwanamtandao fulani, kama Cisco Mtiro yule mvaa kihereni (mila zetu wavaa vihereni ni wanawake, mabaharia na majunya) kaenda kuwa Mkuu wa itifaki Tanzania anybody can take any position.
waziri husika ana nafasi kubwa sana ya kumshauri rais kiasi mara nyingine raisi anakuwa anapitisha mapendekezo ya Waziri tu.
Kwani kazi ilitangazwa mpaka useme kulikuwa na Short List?Na Mkapa aliemteua alikuwa mpuuzi kiasi kutoaana hiyo? Mbona katika short list always kunakuwa na majina matatu na ni uamuzi wa Rais nani kati ya hao amteue iweje Mkapa kati ya hayo majina matatu likiwemo la aliekuwa deputy director general wakati huo Mr Humba asione hilo? Na kama angeteuliwa Humba pia ungesema ni pande la Kapuya kwa kuwa Humba ni mnyamwezi mwenzie!
Na Mkapa aliemteua alikuwa mpuuzi kiasi kutoaana hiyo? Mbona katika short list always kunakuwa na majina matatu na ni uamuzi wa Rais nani kati ya hao amteue iweje Mkapa kati ya hayo majina matatu likiwemo la aliekuwa deputy director general wakati huo Mr Humba asione hilo? Na kama angeteuliwa Humba pia ungesema ni pande la Kapuya kwa kuwa Humba ni mnyamwezi mwenzie!
Kwani kazi ilitangazwa mpaka useme kulikuwa na Short List?
Pili hatakama kulikuwa kuna Short list, ikiwa Waziri katoa pendekezo kwama huyo ndio anafaa, katika hayo majina matatu, unafikiri Mkapa alikuwa na Muda wa kutaka mapendekezo mbadala, wewe mwenyewe umeona Mkapa alivyo tukapa kwenye mambo mengi, sasa ulitegemea au unategemea alikuwa muadilifu wa kufuata taratibu?
Tatu kwa mikataba aliokuwa anafanya unafikiri Mkapa alikuwa ni Mtu mwenye akili Nzuri?
Tatizo ni kuwa Tangazo la mwanzo ni tofauti na la pili
mwanzo lilitoka walitoa tangazo wakitaka watu wenye sifa za juu
then wakatoa tangazo kuscale down zile conditions
sasa baadae kumbe ikaja gundulika jamaa walishampanga mtu wao na kilichobaki ni formality tuu
halafu mnasema mnapiga vita ufisadi...
najua sana taratbu zinazo tumika na pia jinsi mambo yanavyo pindishwa ili ku-favour certain people, ndio maana leo hii watu walikuwa wanalalamika uteuzi kama wa Mattaka ATC, au je unaweza kujustify vipi uteuzi wa Mkurugenzi wa BET na au Current Mkurugenzi wa Bandari etcMkuu kama hufai uliza tu. Kwenye teuzi kama hizo za wakuu wa mashirika na nyingine yanapelekwa majina matatu weza u called it shortlist or not lakini ndivyo ilivyo.
Hata hiyo kazi ya DG NHC imetangazwa na interview ikafanyika na still majina yatakayo kwenda kwa Rais ni matatu.