Mchezo mpya wa ngumi tofauti na ilivyozoeleka waanza Uganda, ni made in Uganda

Mchezo mpya wa ngumi tofauti na ilivyozoeleka waanza Uganda, ni made in Uganda

Training itafanyika baadaye ngumi zikishamalizika
Dah, hiyo ni hatari kwa kweli. Jamaa anapanda kwenye mti kufuata mkanda kule juu, alafu stage yote mnapishana na miti tu, hahahahahahahahaha
 
Hapo washashiba chakula chao kile cha maharage na ndizi, wanatafutia kwa kumalizia shibe.
 
Hapo washashiba chakula chao kile cha maharage na ndizi, wanatafutia kwa kumalizia shibe.
Aliyebeba mkanda Jeshi la Uganda limwajiri jeshini kikosi cha makomandoo

yuko fit matumizi ya akili ,nguvu na ujanja
 
Mtu anapigwa mpaka anatapika , ukiangila zile TKO zao watu wanazima kweli
1000045559.jpg
 
Mtu anapigwa mpaka anatapika , ukiangila zile TKO zao watu wanazima kweli
Hizo ndio ngumi za ukweli hakuna cha referee kuingilia kati anayezimia azimie akizinduka sawa asipozinduka pia sawa tu atajijua
 
Back
Top Bottom