- Thread starter
- #21
Kabisa ubunifuIla huu nao ni ubunifu kweli kweli, alafu wanatumia zile ngazi za mafundi ujenzi. Nimemuona mmoja kapigwa ile style ya Randy Orton.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa ubunifuIla huu nao ni ubunifu kweli kweli, alafu wanatumia zile ngazi za mafundi ujenzi. Nimemuona mmoja kapigwa ile style ya Randy Orton.
Aisee kuna maigizo hapo uwiiiHebu tuwe serious wakuu. Mbona naona kama wanaigiza tu sio mapigano yoyote ya kueleweka
Mkanda uko mmoja tu juu ya mti mshindi akiwashinda wenzie ndie inabidi akauchukue ila kuufikia ni vita ya dunia