Mchezo mpya wa ngumi tofauti na ilivyozoeleka waanza Uganda, ni made in Uganda

Training itafanyika baadaye ngumi zikishamalizika
Dah, hiyo ni hatari kwa kweli. Jamaa anapanda kwenye mti kufuata mkanda kule juu, alafu stage yote mnapishana na miti tu, hahahahahahahahaha
 
Hapo washashiba chakula chao kile cha maharage na ndizi, wanatafutia kwa kumalizia shibe.
 
Afrika safari bado ndefu sana, hiyo mbona ni kama wrestling ya WWE tu. Tena hayo mazingira ni hatarishi sana, pengine hata training yoyote hawana
Africa experience matter first training badae
 
Hapo washashiba chakula chao kile cha maharage na ndizi, wanatafutia kwa kumalizia shibe.
Aliyebeba mkanda Jeshi la Uganda limwajiri jeshini kikosi cha makomandoo

yuko fit matumizi ya akili ,nguvu na ujanja
 
Mtu mkanda anaufuata mwenyewe juu ya mti huko sio anakabidhiwa mkomoni kama mwali anavishwa kidani
Ila huu nao ni ubunifu kweli kweli, alafu wanatumia zile ngazi za mafundi ujenzi. Nimemuona mmoja kapigwa ile style ya Randy Orton.
 
Mtu anapigwa mpaka anatapika , ukiangila zile TKO zao watu wanazima kweli
Hizo ndio ngumi za ukweli hakuna cha referee kuingilia kati anayezimia azimie akizinduka sawa asipozinduka pia sawa tu atajijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…