Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Kwani sheria inasemaje kuhusu uteuzi wa CEO wa DAWASCO? Ni bodi au waziri mwenye dhamana ndiye mwenye uamuzi wa mwisho kwenye teuzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa namuamini sana Mwandosya,kumbe na yeye ni hopeless.Kazi ipo sasa amebaki nani kati ya hawa washika dau wa nchi hii
Yes indeed! Sometimes it is good to seek to understand before being understoodSiku zote kukitokea changes kuna watu wanachukua muda kuelewa!
I doubt, they may not be wrong only that we do not have full information. We only have one sided information and probably coming from loosers....
Nadhani kuna moto mkali sana kati ya CEO,wafanyakazi,DAWASA na Wizara ya maji.Na tatizo ni mfumo mzima ni mbovu sana ndio unaoleta matatizo.Kuna tatizo gani kwa aliyemaliza muda wake? ametekeleza majukumu yake kwa kiwango gani, performance appraisal yake iko ngapi katika viwango vya asilimia?
Upande wangu.
Mimi naona kuna mabadiliko kwa kiasi fulani katika swala zima la usambazaji wa maji katika jiji letu. ingawaje kuna maeneo ambayo hali siyo njema katika upatikanaji wake.
Kuna matatizo ambayo ni utendaji wa serikali na mengine ni utendaji wa Mkurugenzi wa dawasco moja kwa moja. Hekima yangu inaniambia kama umri unamruhusu na hakuna lolote linalotufanya sisi wakazi wa DSM tulalamike basi hakuna haja ya yeye kubadilishwa kwa sababu tu Waziri Hamtaki.
Nadhani kuna moto mkali sana kati ya CEO,wafanyakazi,DAWASA na Wizara ya maji.Na tatizo ni mfumo mzima ni mbovu sana ndio unaoleta matatizo.
Kuna tatizo gani kwa aliyemaliza muda wake? ametekeleza majukumu yake kwa kiwango gani, performance appraisal yake iko ngapi katika viwango vya asilimia?
Upande wangu.
Mimi naona kuna mabadiliko kwa kiasi fulani katika swala zima la usambazaji wa maji katika jiji letu. ingawaje kuna maeneo ambayo hali siyo njema katika upatikanaji wake.
Kuna matatizo ambayo ni utendaji wa serikali na mengine ni utendaji wa Mkurugenzi wa dawasco moja kwa moja. Hekima yangu inaniambia kama umri unamruhusu na hakuna lolote linalotufanya sisi wakazi wa DSM tulalamike basi hakuna haja ya yeye kubadilishwa kwa sababu tu Waziri Hamtaki.
Usilolijua ni kama usiku wa giza.Unaweza kuwa 50% right and 50% wrong!Uanzishwaji wa DAWASCO, uteuzi wa Kaaya kuwa CEO tangu 2005 vyote vilifanyika kienyeji na Lowassa wakati huo akiwa Waziri wa Maji na Mifugo. Kasoro hiyo haikuwahi kurekebishwa hadi Lowasa anaondoka serikalini. Kwa namna Kaaya alivyopewa nafasi ile akawa na kiburi na jeuri ya hali juu. Akaliendesha shirika lile anavyotaka, akafukuza wafanyakazi wengi tu kwa visingizio kuwa ni wezi, hatimaye akaomba fedha nyingi serikalini akawapunguza wengi tu (zaidi ya 400). Akaanza kuajiri upya kwa mishahara mikubwa isiyoendana na hali ya shirika.
Sasa ameajiri karibu idadi sawa na wale aliowapunguza! Wizi uko palepale tena sasa unafanyika kisomi zaidi; amewagawa wafanyakazi kimatabaka. Wapya amewapa mishahara na maslahi bora zaidi kwa kuwa ni "watiifu" kwake. Kampuni ina hali mbaya sana kifedha na pengine isingekuwa ya serikali ingeshakabidhiwa kwa mfilisi.
Kwa kuwa usaili wa CEO mpya ulishafanyika watoe tu jina wanalolitaka.
Niko 98% right. Nioneshe nilipokosea.Usilolijua ni kama usiku wa giza.Unaweza kuwa 50% right and 50% wrong!