Mchezo umekwisha, kijiji cha Kipilipili barani Asia kishauzwa

Why not us

20230528_081110.jpg
 
Sasa kilichobaki ni viongozi wake kuwahadaa wananchi wake.
Wanawaambia ajira zitaongezeka, maji na umeme havitakatika.
Kijiji kilishauzwa zamani sana, tangu mfalme wa kijiji chao alipokwenda likizo kwenye kijii cha mnunuzi.
Tuliza mshono
 
Kwa hatua tuliyofikia, naona kuna kila sababu kwa sasa kwa Watanganyika kuandaa MKAKATI MAALUMU WA DHARULA WA "KUZIHAMI" BANDARI ZA TANGANYIKA pamoja na Rasilimali nyinginezo za Tanganyika.
Ningependa kuona kwamba Operesheni ya Kuzihami Bandari za Tanganyika ikianza mara moja bila kuchelewa.
 
Back
Top Bottom