Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Tuliza mshonoSasa kilichobaki ni viongozi wake kuwahadaa wananchi wake.
Wanawaambia ajira zitaongezeka, maji na umeme havitakatika.
Kijiji kilishauzwa zamani sana, tangu mfalme wa kijiji chao alipokwenda likizo kwenye kijii cha mnunuzi.
Kwa hatua tuliyofikia, naona kuna kila sababu kwa sasa kwa Watanganyika kuandaa MKAKATI MAALUMU WA DHARULA WA "KUZIHAMI" BANDARI ZA TANGANYIKA pamoja na Rasilimali nyinginezo za Tanganyika.Sasa kilichobaki ni viongozi wake kuwahadaa wananchi wake.
Wanawaambia ajira zitaongezeka, maji na umeme havitakatika.
Kijiji kilishauzwa zamani sana, tangu mfalme wa kijiji chao alipokwenda likizo kwenye kijii cha mnunuzi.
Mnajadili kitu kilichopitishwa tayari then mnatuambia tutulietulieni nyiee
hatatukifanya unacho taka hutafaidika chochote.kuwa mpole chifMnajadili kitu kilichopitishwa tayari then mnatuambia tutulie