Mchezo wa bahati nasibu (mkeka) umenitoa kimaisha

Mkuu tunakusubiri.....nataka utushawishi na wengine kua betting inalipa japo napo bahati yahitajika. tunasubir mkuu
Unaweza kuficha majina na sehem muhimu ila uache tu sehem ya amount. Kua umepokea. [emoji3]
 
Ukumbuke kulipa kodi mkuu kabla hujashukiwa na TRA
 
Ukiweka ushahidi, nabet angalau mara tano! Na kibaya zaidi mimi nafuatilia hadi rekodi ya timu ktk msimamo hata kama ni ligi ya kosovo nitaweka mzigo, nitafanyia timu research! Wee si umetumwa utushawishi, sasa weka evidence hapa tuwasafishe!
 
Kaka usihangaike kutafuta pesa bet mimi napiga hela sana masela you can immagine nimeanza kubet three weeks ago but up to now nina Tsh million 45 nilianza kwa mtaji wa buku tano
acha kupotosha jamii.
 
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Masikioni Na Puani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…